Kutotolesha Mayai ya Kanga
Kutotolesha
Tsh 12,000
Kutotolesha Mayai ya Kuku
Kutotolesha
Tsh 12,000
Black Australorp ( Malawi )
Kutotolesha
Tsh 2,000
KIFARANGA CHA BLACK AUSTRALORP ndio suluhisho kamili! Huyu ni kuku wa matumizi mawili (Dual-Purpose) kutoka Australia, maarufu kwa uzalishaji mkubwa wa mayai na nyama bora. Anafaa kwa mkulima anayetaka faida pande zote!